Tuesday, August 23, 2016
SHULE YA MSINGI (PRIMARY SCHOOL)
Shule inapokea wanafunzi kuanzia darasa la kwanza na kuendelea. Mazingira ya kusoma ni mazuri na pia miundombinu na mahitaji ya kujifunza kiurahisi na kiufasaha ipo. Ada inaweza kulipwa kwa awamu pia.
![]() |
| Wanafunzi wa elimu ya Msingi |
Tunapokea maombi ya kujiunga nasi kwa mwaka 2016. Fomu za kujiunga zinapatikana
Subscribe to:
Posts (Atom)


